FAIDA ZA SADAQAH
1- الصدقة باب من أبواب الجنه
Sadaqah ni mlango miongoni mwa milango ya pepo
2- الصدقة أفضل الأعمال الصالحات وأفضل الصدقة إطعام الطعام.
Sadaqah ni moja katika amali njema zilokuwa bora mno na bora ya Sadaqah ni kulisha chakula
3- الصدقة تظل صاحبها يوم القيامة وتفك صاحبها من النار.
Sadaqah humkingia kivuli aloitowa siku ya malipo na humuepusha sahiba yake (mtoaji ) na adhabu ya moto
4- الصدقة تطفيء غضب الرب وحر القبور.
Sadaqah huzima ghadhabu au makasiriko ya mola
5- الصدقة خير ما يهدي للميت
وأنفع ما تكون له ، ويربيها الله عز وجل.
Sadaqah ni katika zawadi bora huzawadiwa maiti na ni katika yanayomfaa na katika ayahitajiyayo na huibariki mola taala
6- الصدقة تطهير ، وتزكية للنفس ومضاعفة الحسنات.
Sadaqah ni kujisafisha na kuitakasa nafsi na ni kithirisho la hasanaat
7- الصدقة سبب سرور المتصدق ونضرة وجهه يوم القيامة.
Sadaqah ni sababu ya kuleta furaha na faraja kwa mwenye kutowa na utakaso na nuru ya uso wake siku ya qiyamah
8- الصدقة أمان من الخوف يوم الفزع الأكبر وعدم الحزن على ما فات
Sadaqah ni pozo na amani siku ya khofu siku ya kishindo kikubwa na kutokuwa na huzuni katika yale yalopita
9- الصدقة سبب لمغفرة الذنوب وتكفير السيئات.
Sadaqa ni sababu
kubwa ya kusamehewa madhambi na kaffara ya makosa
10- الصدقة من المبشرات بحسن الخاتمة وسبب لدعاء الملائكة.
Sadaqah ni katika vibashirio vya mwisho mwema na ni jaalio la mtu kuombewa na malaika
11- المتصدق من خيار الناس والصدقة ثوابها لكل من شارك فيها.
Na mtoa Sadaqah na katika watu wa kheri yaani wabora na Sadaqah thawabu yake huipata hata aloshiriki kuifikisha au hata kwa neno au kuelekeza
12- صاحب الصدقة موعود بالخير الجزيل والأجر الكبير.
Mwenye kutoa Sadaqah kawaidiwa (kaahidiwa) kheri kubwa na ujira mkubwa mno
13- المنفقون من صفات المتقين والصدقة سبب لمحبة عباد الله للمتصدق.
Wenye kutowa ni katika sifa za wacha mungu na Sadaqah ni sababu ya mapenzi ya waja wa mungu kwa mtoaji.
14- الصدقة أمارة من أمارات الجود وعلامة من علامات الكرم ، والسخاء.
Sadaqah ni dalili katika dalili za mapenzi au upendo na ni alama katika alama za ukarimu na ziada katika ukarimu na baraka
15- الصدقة سبب في إستجابة الدعوة وكشف الكربة.
Sadaqah ni sababu ya kukubaliwa dua (maombi ya mja) na kuondoshwa kwa dhiki na kero (suguo) la moyo
16- الصدقة تدفع البلاء وتسد سبعين باباً من السوء في الدنيا.
Sadaqah yazuia mabalaa na inafunga milango sabini ya mabaya na maovu katika dunia
17- الصدقة تزيد في العمر وتزيد في المال وسبب في الرزق والنصر.
Sadaqah inazidisha katika umuri na mali na ni sababisho la kuongezeka kwa rizki na nusura (kunusurishwa na majanga)
18- الصدقة علاج ، و دواء ، وشفاء.
Sadaqah ni tiba ni dawa na ni pozo au ponyo au shifaa
19- الصدقة تمنع الحرق ، والغرق، والسرق ، وتمنع ميتة السوء.
Sadaqa yazuia kuunguwa na moto na kuzama katika maji (mafuriko) na wizi yaani kuibiwa na kifo kibaya (cha uovu)
20- الصدقة أجرها ثابت ولو كانت على البهائم أو الطيور.
Sadaqah ujira wake ni thabiti ni ule ule hata kwa kuwafanyia wema wanyama na ndege
وأفضل صدقة تفعلها الآن هو نشر هذا الكلام بنية الصدقة لأن كل من يطبق هذا الكلام ويعلمه للأجيال القادمة أجره لك بإذن الله
Na Sadaqah bora
uifanyayo sasa hivi ni kuwa wayafikisha maneno haya kwa nia ya sadaqah kwa sababu kila atakaesoma na kufata haya maneno na akayafundisha kwa wanaokuja baadaye ni ujira uloje utakaopata kwa
mola wako

ليست هناك تعليقات:
إرسال تعليق